Saturday, May 09, 2015

Mafuririko Dar es Salaam!

Jamani, jamani!  Watu wameambiwa wasijenge Jangwani! Lakini wapi, wanajenga.  Haya sasa ona matokeo! Picha Kutoka Facebook.Fenecha ya mtu


Sebuleni hapoAerial View of Jangwani Dar es Salaam
Mliozoea kwenda shopping hapo, mlie tu!Hapo Sinza

No comments: