Saturday, June 17, 2017

MBongo Afungwa Jela Miezi Mitatu Uiigereza kwa Kuposti Picha za Maiti FaceBook!

Aibu! Aibu!   Mwanaume mwenye asili ya Tanzania, Omega Mwaikambo  (43), alifungua begi iliyokuwa na maiti ya mtu aliyekufa kwenye ile ajali ya moto London, na kupiga picha za marehemu na kuziposti Facebook. Inaelekea marehemu alijitupa kutoka ghorofani ilikukwepa moto. Polisi walimkamata na kahukumiwiwa kifungo cha miezi mitatu jela.

Mwaikambo anasema kuwa aliposti picha ya maiti ili watu waweze kumtambua.  Kosa lake hasa ni kufungua ile begi ya maiti (body bag). Anadai maiti ilikuwa pale nje ya fleti yake zaidi ya masaa mawili.

***************************************************


Man jailed for opening body bag and taking picture of Grenfell Tower victim

Read more: http://metro.co.uk/2017/06/16/man-jailed-for-opening-body-bag-and-taking-picture-of-grenfell-tower-victim-6714707/#ixzz4kGTdgMGU



A man has been jailed after admitting posting photos of a Grenfell Tower fire victim on Facebook after opening body bags.

Omega Mwaikambo, 43, pleaded guilty to two offences contrary to section 127 of the Communications Act, Scotland Yard said.


He was sentenced to three months at Westminster Magistrates’ Court on Friday.
Mwaikambo, of Testerton Walk, west London, was arrested after images were posted online of what appeared to be a partially-covered body following the fatal blaze in north Kensington, west London.
'
In one of his posts, Mwaikambo claims the body of a victim was left outside his flat for two hours before police or ambulances arrived.

Omega Mwaikambo (43)

Mwaikambo akihijiwa na polisi

Omega Mwaikambo akifungwa pingu na polisi London

1 comment:

emu-three said...

Yeye alikuwa na nia njema ya kutujuza huko bongo kuwa huyo kafariki anayemfahamu ni nani, lakn zipo sheria za nchi, cha kujiuliza je alikuwa akizifahamu,..jamani hapa kuna fundisho kubwa kwa sisi tunaotumia mitandao, tuwe makini sana, tusitumie tu kiushabiki,..jamaa hakutarajia kabisa kuionja jela,..HUJAFA HUJAUMBIKA.