Saturday, September 23, 2017

QNET kuongeza mauzo ya moja kwa moja na kuunda fursa za ujasiriamali Tanzania

aKutoka kushoto, Mshauri wa bodi ya QNET David Sharma, Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mheshimiwa Hamisi Kigwangalla, Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dk. Adelhem Meru na meneja mkuu wa QNET-Tanzania Benjamin Mariki wakikata utepe wakati wa ufunguzi wa ofisi ya shirika hilo niching mapema jana.

 Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mheshimiwa Hamisi Kigwangalla, Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dk. Adelhem Meru Mshauri wa bodi ya QNET David Sharma, meneja mkuu wa QNET-Tanzania Benjamin Mariki wakisoma gazeti lenye biddhaa za kampuni hiyo mara baada ya wa ofisi ya shirika hilo nchini.

Mshauri wa bodi ya QNET David Sharma, akifafanua jambo mara baada ya ufunguzi wa ofisi za shirika  hilo mapema jana 

Baadhi ya wafanyakazi wa Qnet wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya ufunguzi wa ofisi hiyo hapa nchini mapema jana.

No comments: