Saturday, January 13, 2018

Tanzia - Yona Fares Maro

The Late Yona Fares Maro  1988-2018

Rest in Peace

Inasemekana Kaka Yona Alijiua kwa Kunywa sumu baada ya ugomvi na mke wake.  Lakini pia huenda alikua na frustrations za tangu afungwe jela mwaka jana. Alikaa huko siku 60.
\Huu ndo ujumbe wa Yona aliouacha nyuma ya kifo chake.....

Nimekuwa kwenye matatizo ya ndoa kwa miaka 4, kila wiki nikipambana na mke mlevi na mzinzi. Tukio la jana usiku na leo asubuhi limenisononesha na kunitia simanzi kubwa. Nimekata tamaa ya kila kitu na kila jambo nangoja mapenzi ya Mungu tu. Nalazimika kutumia dawa za usingizi lakini wapi. Sasa nipumzike nimwache mke wangu Eng Mloelya na mchepuko wake Eng Lossy wa Idara ya Maji Mbeya waendee!No comments: