Saturday, December 08, 2018

Usafiri Dar es Salaam (UDA)

Nani nakumbuka mabasi ya UDA ya miaka ya 1970's-1980s.  Zilikuwa zinajazana, vibaya mno! Mwenyezi mungu alitulinda! Walileta kumbakumba lakini hazikudumu kwa sababu barabara zilikuwa mbovu. Yaani siyo mashimo, ilikuwa mahandaki!!!  Depot ya Kumbakumba ilikuwa Ubungo (Pale yanapoondokea mabasi ya mkoani)

UDA Bus is Dar es Salaam circa 1978

No comments: