Saturday, June 01, 2019

Injinia Mweusi Aua Huko Virginia!

Pichani ni Dewayne Caraddock

Hivi, inakuaje injinia (Engineer) mweusi, msomi, mwenye kipato kikubwa anaamua kuua wafanyakazi wenzake?  Jana,  Injinia Dewayne Craddock mwenye miaka 40, aliua wafanykazi wenzake 12 walipokuwa wanamaliza siku ya kazi huko Virgina Beach, Virginia.  Polisi walimua Craddock hapo papo.

Sasa, watu hapa USA wauliza kwa nini walimuwua wakati wauaji wa kizungu wanakamatwa na kuwekwa gerezani?   Na kawaida hao wauaji wa wengi wanakuwa wazungu, imekuaje huyo baba mweusi aliamua kuua?

Unaweza kusoma habari zaidi hapa:

Watu waliuawa  May 31, 2019 na Dewayne Craddock, walikuwa wanfanyakazi wenzake

No comments: