Saturday, April 11, 2020

Senene Watokea kwa Wingi Uganda Tena!

Kwa mara ya pili, senene (locusts) wametokea kwa wingi na kula kila aina ya mimea!  Wataalamu wanasema idadi ya wimbi ni mara ishirini ya wale waliojitokeza mwezai wa pili mwalka huu! Wanatokea Somalia.  Serikali ya Uganda ilishauri wananchi wao kuwala ili kuwapunguza.

Ugandan women with  platters of Roasted locuts 


Associated Press KAMPALA, Uganda (AP) -  The second wave of a huge locust outbreak is arriving in parts of East Africa. This wave of the voracious insects is estimated to be 20 times the size of the first. Billions of the young desert locusts are winging in from breeding grounds in Somalia in search of fresh vegetation springing up with seasonal rains. Millions of already vulnerable people are at risk. And as they gather to try to combat the locusts, they risk spreading the coronavirus. Some say the virus comes a distant second to the locusts in their concerns.


Ugandan schoolgirl chasing locusts

No comments: