![]() |
| Joe Frazier (kushoto) na Muhammad Ali |
![]() |
| Joe Frazier (1944 - 2011) |
Bondia maarufu Joe Frazier amefarikia dunia. Frazier alipigana na Muhammad Ali mwaka 1971 katika pambano kali iliyoitwa 'Fight of the Century'. Habari zinasema kuwa madaktari waligundua kuwa Frazier anaumwa kansa ya ini wiki sita tu zilizopita. Alikuwa ana miaka 67. Frazier hakumpenda Ali kwa sababu alijaribu kumsaidia alipopatwa na matatizo ya kuzuiliwa kupigana. Jibu la Ali ilikuwa kumwita Frazier 'Sokwe' (gorilla) kwa vile alikuwa mweusi sana kulingana na weupe wa Ali. Mungu ampumzishe mahala pema mbinguni. Amen.
Kwa habari zaidi BOFYA HAPA:





