Showing posts with label Reggae. Show all posts
Showing posts with label Reggae. Show all posts

Wednesday, March 25, 2009

Reggae Concert Minneapolis


Mwimba Reggae maarufu InnocentMfalingundi atakuwa na concert huko Minneapolis, Ijumaa hii 3/27/09.

Thursday, November 15, 2007

Kideo cha marehemu Justin Kalikawe



Kibira Films wametoa video ya marehemu Justin Kalikawe. Alichangia muziki katika sinema ya Bongoland (2003). Kalikawe alikuwa mwimba reggae maarufu wa Bongo na alipata tuzo kadhaa.

http://bongoland2.blogspot.com/2007_11_13_archive.html

Kwa habari zaidi za maisha ya marehemu Kalikawe soma:

http://64.233.169.104/search?q=cache:gAL0FmkRiCkJ:home.ripway.com/2004-8/156144/BURIANIJUSTIN