Showing posts with label SAG Party. Show all posts
Showing posts with label SAG Party. Show all posts

Monday, February 23, 2009

Academy Award Night

(Kutoka kushoto - Julia, Mimi, Janine, Sonya, Jacqui)

Jana nilienda kusherekea tuzo za Oscars, Academy Awards, na actors wenzangu wa Boston. Sherehe iliandaliwa na Casting Director wa Boston, Jodi Purdy Quinlan. Ilifanyika Mini Bar katika Copley Plaza Hotel hapa Boston.(picha ya chini -Kutoka kushoto, John A., Julia, Donna, Janine, mimi, John D.)