Showing posts with label Sabato Masalia. Show all posts
Showing posts with label Sabato Masalia. Show all posts

Wednesday, March 25, 2009

Sabato Masalia




Kutoka kwa Mzee wa Sumo Blog:




Jamaa waumini wa Sabato Masalia bado wanasubiri kwenda ng'ambo kuhubiri neno la Mungu, bila passport wala nauli hii ni kambi yao iliyoko Tabata wanalala kichakani wake kwa waume na hicho ndio choo chao. Kweli mtu akiwa anashusha mambo hawezi kupigwa chabo?

**************************************************
Wadau, wenye habari za hao jamaa watuelezee. Sijaelewa nia yao. Yaani wanakaa kichakani wakitegemea ng'ambo kuhubiri neno la Mungu?