Haya nyie wanaume sikilizeni! Msiweke simu zenu mfukoni karibu na nyeti zenu, kumbe zile 'rays' zake zinaua mbegu (shahawa)! Wataalamu walifanya utafiti ilikugundua sababu ya wanaume wengi kushindwa kumtia mimba mwanamke. Oh hoooooo! Kumbe chanzo ni hizi simu za kisasa.
Kusoma Habari kamili BOFYA HAPA:
Showing posts with label Simu ya Kifo. Show all posts
Showing posts with label Simu ya Kifo. Show all posts
Wednesday, June 11, 2014
Thursday, September 02, 2010
Simu ya Kifo Yatokea Kweli Kenya!!!
Eti ukipokea simu kutoka kwa namba fulani huko Kenya, ubongo utapasuka. Uvumi unasema kuwa watu zaidi ya elfu moja wamekufa. Imebidi serikali ya Kenya iingilie!!!
Wednesday, November 28, 2007
Simu ya Kifo kweli!

Siku hizi watu wengi wana simu za mkononi. Lakini zina athari zake. Siku nyingi watu wamesema zinapunguza nguvu za kiume au kuua mayai ya mwanamke! Mara waseme zinaleta tumours (uvimbe) kwenye ubongo.
Sasa leo kuna habari kuwa baba moja huko Korea ya Kusini kafa kazini kwake baada ya simu yake ya mkononi kulipuka kwenye sharti yake na kumwua. Wanasema betri ndo ililipuka ndani ya poketi kwenye sharti aliyovaa. Simu enyewe iliyeyuka kifuani mwake! DOH!
******************************************************************************
SEOUL, South Korea (AP) -- An exploding mobile phone battery apparently killed a South Korean man in the first such known case in this gadget-obsessed country, police say.
The man, identified only by his family name Suh, was found dead at his workplace in a quarry Wednesday morning and his mobile phone battery was melted in his shirt pocket, a police official in Cheongwon, 135 kilometers (85 miles) south of Seoul, told The Associated Press.
"We presume that the cell phone battery exploded," the police official said on condition of anonymity.
The official said the phone was made by South Korea's LG Electronics, the world's fifth-biggest handset maker.
LG Electronics confirmed its product was involved in the accident but said such a battery explosion and death was virtually impossible.
Monday, May 07, 2007
Sinema ya Simu ya Kifo

(Pic 1) Mwongozaji Hammie Rajab, akipungia Camera.
(Pic 2) Ganda la DVD la Simu ya Kifo
(Pic 3) Baadhi ya walioigiza katika sinema la Simu ya Kifo
Wikiendi hii sinema mpya ya Bongo iitwayo, Simu ya Kifo, ilizinduliwa. Premiere ilikuwa katika ile kumbi maarufu la wasanii, The Little Theatre, pale Oyster Bay.
Kwa vile siko Bongo, bado sijauona. Lakini nasikia ilikuwa nzuri na watengenezaji wamejitahidi sana kusudi iwe sinema na si video. Hongera sana.
Wengi tunafahamu kile kitabu cha Simu ya Kifo, na hii ndo sinema yake. Nitapenda kuona kama sinema ni nzuri kama kitabu. Mara nyingi inakuwa vigumu kwa sinema kushinda kitabu maana kwenye kitabu wanaelezea kwa undnani zaidi na mambo mengi zaidi.
Mlioiona naomba maoni yenu.
Kama hamfahamu zamani Little Theatre ilikuwa 'Exclusive' kwa ajili ya wazungu. Waafrika walikuwa wafanyakazi tu pale. Hata bei ya tiketi waliweka juu kusudi waafrika washindwe kununua. Kulikuwa na sisters, Erica Khuri na Tony Khuri (wote marehemu) walikuwa wanaandaa michezo mara kwa mara pale. Nafurahi kuona weusi kwenye Stage hiyo.
Subscribe to:
Posts (Atom)