Sunday, June 11, 2006

Tumefufuka!



Hapa Tumemaliza shoot ya scene yetu kwenye Aftershock! Kwenye scene weusi tuliuawa (massacre)! Tulipakwa madamu feki laini ukiona utadhani ni madamu ya kweli!

Tuliambiwa tulale chini halafu mtu wa make-up alipita na lichupa ya damu! Halafu wakati wa 'take' tuliambiwa "HOLD YOUR BREATH" yaani usipumue! Ilikuwa ni kazi!

1 comment:

ombui said...

Nimefurahia kuona aghalabu picha moja sinema mnayoitengeza hivi sasa.

Kiswahili chako bado kizuri mno na endelea vivyo hivyo.

Kisiki
http://fichuzi.blogspot.com