Tuesday, February 11, 2014

Mnakumbuka hizi Air Form?

Wajukuu wangu Hii ni kabla ya Internet na E-mail!!!!! Hivi ndo jinsi tulivyokuwa tunawasiliana.

4 comments:

Anonymous said...

Shuleni tulikuwa tunazingojea kwa hamu!

Anonymous said...

Umenikumbusha enzi za Boarding School Kilakala!

Anonymous said...

Shuleni tulikuwa tunazingojea kwa hamu!

Anonymous said...

Hizi ilikuwa lazima uanze:

Salaam nyingi ewe uliye mbali ma macho yangu. Ama baada ya salamu...