Saturday, October 31, 2015

Ndege ya Urusi Yaanguka Misri

Aina ya Ndege iliyoanguka leo huko Misri


Ndege ya abiria ya Urusi imeanguka nchini Misri leo. Ndege hiyo ya shirika la Metrojet ilikuwa na abiria 224.  Serikali ya Misri inasema kuwa wameona mabaki ya ndege huko Sinai Peninsula na abiria wote wamepoteza maisha.  Abiria hao walikuwa wakitoka kutalii nchini Misri. Ndege ilitoka Sharm-El Sheikh kwenda St. Petersburg, Urusi.

Mungu alaze roho zao mahala pema mbinguni. Amen.

Kwa habari zaidi BOFYA HAPA:

No comments: