Friday, October 16, 2015

Tanzia - Mh. Deo Filikunjombe na Captain William Silaa


RIP Mbunge wetu wa Ludewa, Mh. Deo Filikunjombe. Doh! Nimepokea habari za msiba kwa masikitiko makubwa.  Poleni wanakunyumba.

Mwenyezi Mungu alaze roho za marehemu mahala pema mbinguni. Amen.

2 comments:

Anonymous said...

So sad.
Haya maisha haya ni siri kubwa ambayo Mungu pekee ndiye ajuaye.
Pole kwa wafiwa.
R.I.P Deo.

Anonymous said...

Wapumzike kwa Amani na MUNGU awape nguvu wanafamilia kwenye hiki kipindi kigumu