Saturday, September 22, 2018

Ferry MV Nyerere Yazama Ziwa Victoria - Watu zaidi ya 400 Wahofia Kufa

Inasdikiwa kuwa watu zaidi ya 400 wamekufa  baada ya Feri ya MV Nyerere kuzama Ziwa Victoria siku ya Alhamisi.  Feri ilizama karibu na kitou  cha Ukara Island. Ilikuwa na uwezo ya kubeba abiria mia lakini watu waansema ilikuwa imebeba zaidi ya watu 400.  Siku ya alhamisi iliku siku ya watu kwenda Sokoni 'Market Day', kwenda kununua na kuuza bidhaa mbalimbali. Raisi Magufuli amesema kuwa nahodha wa Ferry hakuwa na kipaji cha kuendesha feri hiyo.


MV Nyerere ikiwa kazini Ziwa Victoria


MV Nyerere baada ya kuzama Ziwa Victoria
Jitihada za Uokoaji

No comments: