picha kutoka ippmedia.comMkuu mpya wa polisi, Mkoa wa Dar es Salaam Special, Suleiman Kova, akipata mawaidha kutoka kwa Kamanda wa Polisi, Alfred Tibaigana ambaye anastaafu. Sherehe za kumwaga Mzee Tibaigana zilifanyika jana huko Police Officers Mess jijiji Dar.


