
Mkuu mpya wa polisi, Mkoa wa Dar es Salaam Special, Suleiman Kova, akipata mawaidha kutoka kwa Kamanda wa Polisi, Alfred Tibaigana ambaye anastaafu. Sherehe za kumwaga Mzee Tibaigana zilifanyika jana huko Police Officers Mess jijiji Dar.
Blogs in Kiswahili, the main African language of EAST AFRICA.
3 comments:
Ataweza kukabidhi majambazi wa Dar huyo? Mola ampe nguvu!
http://www.youtube.com/watch?v=vqBJTBIUtM8
namuunga mkono mwandishi Edo Kumwembe aliyemuuliza afande mstaafu Tibaigana kuwa,anaondoka lakini ni nani aligushi saini ya AthumaniIddy?
Post a Comment