Showing posts with label Binders Full of Women. Show all posts
Showing posts with label Binders Full of Women. Show all posts

Thursday, October 18, 2012

Mitt Romney na Binders zilizojaa Wanawake!!!

Mgombea Rais wa Chama cha Republican, Gavana Mitt Romney, anazidi kuonyesha jinsi anavyoishi maisha ya kifahari nakutokuelewa maisha ya mtu wa kawaida.  Anashindwa hata kuongea.  Kwenye debate jumanne (Ot. 16, 2012), na Rais Obama, Romney alisema kuwa alipewa binders zilizojaa wanawake. Alikuwa na maana kuwa alipewa CV nyingin za wanawake.  Lakiniw watu hawana mbavu na wanazidi kumtania kwa katuni na vichekesho.