Thursday, October 18, 2012

Mitt Romney na Binders zilizojaa Wanawake!!!

Mgombea Rais wa Chama cha Republican, Gavana Mitt Romney, anazidi kuonyesha jinsi anavyoishi maisha ya kifahari nakutokuelewa maisha ya mtu wa kawaida.  Anashindwa hata kuongea.  Kwenye debate jumanne (Ot. 16, 2012), na Rais Obama, Romney alisema kuwa alipewa binders zilizojaa wanawake. Alikuwa na maana kuwa alipewa CV nyingin za wanawake.  Lakiniw watu hawana mbavu na wanazidi kumtania kwa katuni na vichekesho.


3 comments:

Anonymous said...

Yet another gaffe by the Gaffe Machine. Jamani! Yaani huyu jamaa ana mafaili yaliyojaa wanawake!

Anonymous said...

When people say, "Don't count on the government to do it," it's naiveté at its best.

Christie aged noticeably overnight; Obama had to deal with 750K-job loss a month; the deepest recession since the Great Depression; 2 wars; bin Laden lurking around with his harem; 26% of all voters that are birthers; and religious sheep that didn't make noise under Romneycare but Obamacare!

We can bet that Christie doesn't say, "Don't count on the government to do it," after Sandy.

Let's unite and vote the GOP out early & tell your friends!

Obama 2012!

Anonymous said...

Picha ya chini mbona nanihii kiduchu?