Showing posts with label Carolla Kinasha. Show all posts
Showing posts with label Carolla Kinasha. Show all posts

Friday, June 17, 2011

Carola Kinasha Atakuwa Sweet Eazy Leo!

Mwimbaji maarufu wa Tanzania, Carola Kinasha atakuwa Sweet Eazy leo jioni huko Dar. Carola alikuwa classmate wangu Zanaki. Alikuwa anapenda kuimba wakati ule na anazidi kuendeleza kipaji chake na mapenzi yake ya muziki.



Tuesday, October 19, 2010

Maisha Lounge - Ijumaa

This Friday join us at the new Waterfront, Slipway, for the birthday of Tanzania's first Lounge Album.

Live performances around Sunset.

We recommend advance table bookings if you intend to dine: 0762 88 33 21.



Wednesday, August 22, 2007

Mjue Mwimbaji Maarufu wa Bongo Carolla Kinasha




Huyu ni Dada Carolla Kinasha. Ni mwanamuziki mkongwe wa Bongo. Aliwahi kualikwa kuimba na bendi ya Dr. Remmy na wanamuziki wengine maaraufu.

Carolla namfahamu miaka mingi. Nilisoma naye Zanaki Girls Secondary School. Alikuwa anapenda sana kuimba wakati huo. Alikuwa anajua nyimbo zote za Boney M na ABBA, tena alikuwa anaziimba vizuri mpaka walimu walichukia na kusema kuimba kizungu ni kasumba!

Namsifu sana maana alifuata mapenzi yake ya kuimba japo alisomea sheria. Ana bendi kali sana huko Bongo.

Kwa habari za Dada Carolla nendeni kwenye tovuti yake:
http://www.carolakinasha.com/index.html