Friday, June 17, 2011

Carola Kinasha Atakuwa Sweet Eazy Leo!

Mwimbaji maarufu wa Tanzania, Carola Kinasha atakuwa Sweet Eazy leo jioni huko Dar. Carola alikuwa classmate wangu Zanaki. Alikuwa anapenda kuimba wakati ule na anazidi kuendeleza kipaji chake na mapenzi yake ya muziki.No comments: