Jana hapa Marekani ilikuwa sikukuu ya Fourth of July. Ni siku ya kusherekea Uhuru kutoka kwa Uingereza miaka 233 iliyopita mwaka 1776. Jana jioni nilikuwa mmoja wa maelfu ya watazamaji wa Fireworks, kwenye Charles River upande wa Cambridge, MA. Nilipiga picha hizi mbili.
Showing posts with label Charles River. Show all posts
Showing posts with label Charles River. Show all posts
Sunday, July 05, 2009
Subscribe to:
Posts (Atom)