Showing posts with label Defeated. Show all posts
Showing posts with label Defeated. Show all posts

Thursday, November 08, 2012

Website ya Rais Romney ilikuwa Hewani Leo Asubuhi!


Yaani hadithi za Gavana Romney haziishi. Leo asubuhi Website ya "Rais Romney" ilikuwa hewani. Imeshatolewa. Nadhani walikuwa na Timer kwenye hiyo site na walisahau kuizima aliposhindwa uchaguzi.

Romney alivyokuwa anajua kuwa atashinda uRais aliandika hituba ya kukubali ushindi na hakuandaika ya kushindwa. Ndo maana ilichukua muda kukukabli kushindwa.

Rais Barack Obama  wa chama cha Deomcrats alichaguliwa kuwa Rais wa Marekani kwa miaka minne zaidi katika Uchaguzi wa Novemba 6, 2012.

Mnaweza kusoma habari zaisi kwa KUBOFYA HAPA: