Showing posts with label Edith Bambury Ward. Show all posts
Showing posts with label Edith Bambury Ward. Show all posts

Wednesday, March 05, 2008

Post cards za Edith Bambury Ward - Alifariki 1929

Wafanyakazi wa shamba la Mjerumani wakipewa mchele
Sijui ni mtaa gani Dar es Salaam (1916?)
Heri ya Mwaka Mpya 1916

jukuu wa Edith Bambury Ward ameweka collection ya post cards za bibi yake kwenye internete. Zimepigwa sehemu mbalimbali na zinaanzia miaka ya 1890's. Bibi Ward alifariki dunia 1929.

Mjukuu wake anasema ana uhakika kuwa bibi yake angefurahi sana kuona watu wanafurahia collection yake miaka zaidi ya sabini tyangu kifo chake.

Picha nilizoweka ni za enzi za mjerumani - German East Africa.

Unaweza kuona Collection yote hapa: EDITH BAMBURY WARD