Showing posts with label Fm Academia. Show all posts
Showing posts with label Fm Academia. Show all posts

Tuesday, October 14, 2008

Mnenguaji Suzi Cyz

Sijawahi kumwona Suzi Cyz, laivu akicheza lakini kwa waliomwona, Je, anaweza kushindana na Aisha Madinda?

****************************************************


Mnenguaji mahiri wa Bendi ya FM Academia Suzi Cyz akionyesha umahiri wake wa kunengua muziki katika moja ya maonyesho ya bendi hiyo jijini Dar. Suzy amekuwa kivutio kikubwa miongoni mwa wanenguaji wa bendi hiyo. Picha na Albart Jackson.