
****************************************************
Kutoka Lukwangule Blog:
Mnenguaji mahiri wa Bendi ya FM Academia Suzi Cyz akionyesha umahiri wake wa kunengua muziki katika moja ya maonyesho ya bendi hiyo jijini Dar. Suzy amekuwa kivutio kikubwa miongoni mwa wanenguaji wa bendi hiyo. Picha na Albart Jackson.