Showing posts with label Foliage. Show all posts
Showing posts with label Foliage. Show all posts

Wednesday, October 08, 2008

Msimu wa Winter Karibu

Mpaka wa Vermont na New York State (Nilipiga nikiwa Vermont kuna mto katikati)

Wadau, nilienda Vermont wikiendi iliyopita. Yaani miti inavyobadilika rangi sababu ya msimu kubalika inapendeza macho kweli. Wazungu wanaenda kutalii huko Vermont kwenye 'foliage tours'.

Hii picha ni ya Quechee Gorge, parefu kweli kwenda chini.