Wednesday, October 08, 2008

Msimu wa Winter Karibu

Mpaka wa Vermont na New York State (Nilipiga nikiwa Vermont kuna mto katikati)

Wadau, nilienda Vermont wikiendi iliyopita. Yaani miti inavyobadilika rangi sababu ya msimu kubalika inapendeza macho kweli. Wazungu wanaenda kutalii huko Vermont kwenye 'foliage tours'.

Hii picha ni ya Quechee Gorge, parefu kweli kwenda chini.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

ehh dadangu hapo ipo kazi kwani sipendi kabisa baridi. Kuna wakati nawaza labda niwe na nyumba mbili ikiwa baridi niwe TZ na ikiwa joto niwe hapo.

Anonymous said...

I completely agree with you and the other 'leaf peepers'...kweli New England is a beautiful sight in the fall. Sema kasheshe yake ni hio winter inayokuja!!