
Kwenye bliblia tunasoma habari ya nchi ya Misri kuvamiwa na nzi, chura, nzige nk. wakati wayehudi walitaka uhuru wao kutoka kweney utumwa. Sasa huko UGiriki yametokea tena.
Kuna mji umevamiwa na mamilioni ya chura, kiasi kwamba waliowaona walisema kuwa ilikuwa kama kapeti imetundikwa chini! Walikuwa wanavuka barabara kuu na kusababisha magari yaliyowakanyaga yateleze. Khaa! Watu wa huko wamekosa nini mpaka wautumiwe chura?
Mnaweza kusoma habari HAPA: