Wednesday, May 26, 2010

Chura Wavamia UGiriki!


Kwenye bliblia tunasoma habari ya nchi ya Misri kuvamiwa na nzi, chura, nzige nk. wakati wayehudi walitaka uhuru wao kutoka kweney utumwa. Sasa huko UGiriki yametokea tena.

Kuna mji umevamiwa na mamilioni ya chura, kiasi kwamba waliowaona walisema kuwa ilikuwa kama kapeti imetundikwa chini! Walikuwa wanavuka barabara kuu na kusababisha magari yaliyowakanyaga yateleze. Khaa! Watu wa huko wamekosa nini mpaka wautumiwe chura?

Mnaweza kusoma habari HAPA:

4 comments:

Anonymous said...

"There will be more floods with death, more volcano eruptions with death, more accidents that are not accidents, until you will surely come to your senses and realize that there is a higher power working at this time to bring you to your knees." - Our Lady of the Roses, June 18, 1986

Anonymous said...

Ugiriki ndiyo hawa hawa wana kasheshe ya kiuchumi hadi kufikia kuiyumbisha Euro. Sasa tena vyura, nhe he, ingekuwa 'kwetu' tungesema si bure, 'kuna mkono wa mtu' ngoja usikie 'shehe' atasemaje kuhusiana na hili.

Maisara Wastara said...

Sio wale wa Kihansi kweli?

Anonymous said...

Doh! Si bure!