Showing posts with label Kenneth Kaunda. Show all posts
Showing posts with label Kenneth Kaunda. Show all posts

Friday, May 28, 2010

Viongozi wa Afrika Part II

L-R Rais Siad Barre wa Somalia, Mwalimu na Rais wa FRELIMO Samora Machel. Baada ya Msumbiji kupata uhuru Machel alikuwa Rais wa nchi hiyo. Alifariki katika ajali ya ndege Afrika Kusini.
Nisaidie majina. L-R, Rais Kenneth Kaunda wa Zambia, ?, Rais Indira Gandhi wa India, Mwalimu, Rais Milton Obote wa Uganda, ?
Rais Mobutu Sese Seko wa Zaire (Congo), Rais Kaunda wa Zambia nyuma yake na Mwalimu
Mama Maria Nyerere, Dikteta Idi Amin Dada was Uganda na Mwalimu