Hapa Marekani watu wanatupa nguo zao waszoiotaka kwenye mapipa ya Goodwill, Salvation Army, St. Vincent De Paul, Planet Earth etc. Mtu akifa familia inatoa nguo zake kwenye mashirika hayo. Nguo zisizouzwa madukani mwao ya mitunba (Second Hand Shop) zinasafirisha kwenda nchi za Third World.
Haya cheki huyo jamaa anavyofurahia mtumba wake, nguo ya kulala (pajama) ya kike!
Showing posts with label Mtumba. Show all posts
Showing posts with label Mtumba. Show all posts
Tuesday, September 22, 2015
Subscribe to:
Posts (Atom)



