Tuesday, September 22, 2015

Raha ya Mitumba!

Hapa Marekani watu wanatupa nguo zao waszoiotaka kwenye mapipa ya Goodwill, Salvation Army, St. Vincent De Paul, Planet Earth etc.  Mtu akifa familia inatoa nguo zake kwenye mashirika hayo. Nguo zisizouzwa madukani mwao ya mitunba (Second Hand Shop) zinasafirisha kwenda nchi za Third World.

Haya cheki huyo jamaa anavyofurahia mtumba wake, nguo ya kulala (pajama) ya kike!3 comments:

Anonymous said...

Katoka huyo! Mwache ajidai. Anapendeza na hiyo pinki.

Anonymous said...

DUH! Hii kali.

Anonymous said...

The dude's a trip! HIRALIROUS!!!!!!! Hahahaha! Hahahaha!