Showing posts with label Nyimbo za Dini. Show all posts
Showing posts with label Nyimbo za Dini. Show all posts
Saturday, January 07, 2012
Mambo Msikitini
Nasikia yalitokea kweli kwenye mskiti huko Bongo. Simu ya Mwumini ilianza kulia, ringtone, nyimbo ya kiinjili! Duh! Sasa imekuwa katuni/kichekesho lakini nadhani jasho yalimtokea huyo jamaa hadi nguo zake zililoa! Fundisho - zimeni simu zenu kabla ya kuingia mskitini/kanisani.
Subscribe to:
Posts (Atom)