Saturday, January 07, 2012

Mambo Msikitini


Nasikia yalitokea kweli kwenye mskiti huko Bongo.  Simu ya Mwumini ilianza kulia, ringtone, nyimbo ya kiinjili! Duh! Sasa imekuwa katuni/kichekesho lakini nadhani jasho yalimtokea huyo jamaa hadi nguo zake zililoa! Fundisho - zimeni simu zenu kabla ya kuingia mskitini/kanisani.

11 comments:

Anonymous said...

Ha ha ha ha

Anonymous said...

Siyo Jasho! Mharo ulimtoka!

Anonymous said...

Kinachonishangaza mimi ni kwamba huyu jamaa angeweza kuuawa kwa kitu kidogo kabisa! Dini ya wenzetu ni kazi kweli kweli

Anonymous said...

Hii kali! Huyo jamaa lazima kafukuzwa na hataruhusiwa kuswali katika mskiti huo tena.

Anonymous said...

lAKINI KWANI MLIO WA SIMU NA IMANI YA MTU UHUSIANO WAKE HUKO WAPI? HAPO ZAMANI HATUKUWA NA CHOICE NYIINGI ZA MILIO NA KULIKUWA NA MLIO MMOJA TU WA SIMU HAMABO NI COMMON AMBAO NIMANI KILAMMMOJA WETU ANANUJUA,SASA IKIWA KUNA CHOICE KWANINI MTU ASICHAGUE MLIO UNAOMPENDEZA YEYE?iLA KAMA MCHANGIAJI MMOJA ALIVYOSEMA DINI YA WENZETU NI KAAZI KWELIKWELI. lABDA TATIZO NINAPOLIONA NI KUACHA SIMU WAZI MSIKITINI,AU KUACHA IKIWA NA MLIO MKUBWA KWANI ANGEWEZA KUWEKA VIBRATION BILA MLIO ISINGEKUWA NOMA.

Anonymous said...

"DINI YA WENZETU KAAZI KWELIKWELI"

WENZENU AKINA NANI? SISI WAISLAMU SIYO WENZENU. NYINYI MUNGU AMEZAA/AMEJIFUNGUA MTOTO AMBAYE NAYE PIA NI MUNGU.
SISI MUNGU WETU HAKUZAA NA WALA HAKUZALIWA.

Anonymous said...

Tatizo la waislamu ni kwamba uzalendo huwa unawashinda likitokea jambo lolote ambalo wanalipenda wao. Kuna waislamu wengi siku hizi wanapenda kwaya za kanisani sana. Sasa huyu muislamu alikuwa ni wale ambao wanapenda kwaya. Muisilamu akipenda jina la kikristo atatafuta sababu za uongo na kweli na kujipachika jina la kikristo. Kama siku hizi wana jiita "George" "serafina" huku wakujua serafina linatokana na malaika maserufi (Seraphs).

Eti wanasema majina hayana dini. Sasa na kwaya wanazipenda. Muda mrefu wataanza kupiga magitaa katika swala.

Anonymous said...

Tunacheka lakini maisha ya jamaa yalikuwa hatarini!

Anonymous said...

Duh! kumbe George ni jina la kikristo?

miye homa

Anonymous said...

Kweli waisilamu kiboko. Eti wanashangaa kusikia George ni Jina la Kikristo.

Majina ya ulaya kwa ujumla wake ni majina ya kikristo. Majina ya uarabuni kwa ujumla wake ni ya kiislamu. Ndiyo maana sisi wakristo huwa hatutaji watoto wetu majina kama Issa, Yahaya, Hadija, Salma N.K

Anonymous said...

Injili itahubiriwa kwa kila Taifa aliye Myunani na aliye Samaria, aliye Muisrael na aliye mmataifa maana Kristo alikuja kwa wote wenye mwili ili waokolewe. Yesu alikuja kwa ajili ya ulimwengu wote hata wanaomkataa ndani kabisa ya nafsi zao wanajua yeye ndo mwanzo na mwisho wa kila kitu.