Showing posts with label Oil Exploration. Show all posts
Showing posts with label Oil Exploration. Show all posts

Saturday, October 26, 2013

Rais Kikwete Afafanua Faida Za Utafutaji Mafuta na Gesi Nchini Kwa WaTanzania

KISWAHILI ENGLISH

Thursday, January 03, 2013

Ujumbe Muhimu Kwa Tanzania Diaspora Kutoka Serikali ya TZ


KUWATUMIA WATAALAMU WA KITANZANIA WALIOKO UGHAIBUNI        (DIASPORA) NA NDANI YA NCHI KUJENGA UWEZO NA UFANISI WA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI MUHIMU ZA SERIKALI

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inakusudia kuwatumia wataalamu wa Kitanzania walioko ndani ya nchi na wale walioko ughaibuni (Diaspora) katika kutekeleza mipango yake kadhaa yenye umuhimu kwa Taifa.

Hapo awali, Serikali iliwatumia zaidi wataalamu kutoka nchi nyingine, ambapo kwa sasa lengo ni kuona kwamba wataalamu wa nchi nyingine wanatumika pale tu ambapo wataalamu wa Kitanzania walio ndani na nje ya nchi hawajapatikana kufanya kazi husika.

Katika kutekeleza azma hiyo, Serikali itapenda kupata wataalamu wa Kitanzania kwenye maeneo yafuatayo:-
(i) Mfumo mzima wa utafutaji, uchimbaji, uongezaji thamani na usambazaji wa gesi asilia na mafuta.

(ii) Kuimarisha matumizi salama ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) katika kuboresha utendaji wa Serikali na utoaji wa huduma kwa wananchi.

(iii) Kuboresha utekelezaji wa malengo ya Serikali na kupima matokeo kupitia mfumo unaokusudiwa kuhakikisha tunapata matokeo makubwa na ya haraka katika maeneo ya kipaumbele na kimkakati katika maendeleo ya Taifa.

Wataalamu watakaojitokeza na kukubaliwa kufanya kazi Serikalini katika maeneo haya, watafanya kazi kwa mikataba ya muda mfupi, lakini inayoweza kuongezwa iwapo utendaji utaridhisha.

Mwito unatolewa kwa Wataalamu wa Kitanzania popote walipo, ughaibuni au ndani ya nchi, kujitokeza na kuleta wasifu wao (CV’s) pamoja na maelezo ya kwa nini wanafikiri wao ni aina ya watu tunaowatafuta. Tumia anuani ifuatayo:-


Katibu Mkuu Kiongozi
Ofisi ya Rais, Ikulu
S.L.P. 9120
DAR ES SALAAM

Monday, July 30, 2012

Ugomvi Kati ya Malawi na Tanzania Yaendelea - Ziwa Nyasa!


Wadau tangu mimi mdogo miaka ya 70 nakumbuka huo ugomvi kuhusu mpaka wa Malawi na Tanzania.  sasa Malawi wameruhusu uchimbaji wa mafuta Ziwa Nyasa. hiyo Ziwa bado ni natural Itachafuka!
Bandari ya Kwetu Manda Picha nilipiga mwaka 2009
Tanzania asks Malawi to Halt Oil search in Disputed Lake

DAR ES SALAAM (Reuters) - Tanzania has asked Malawi to stop oil and gas exploration activities in Lake Malawi until a border dispute between the two countries involving the lake is resolved, a Tanzanian official said on Monday.

Last October, Malawi said it had awarded oil exploration licenses to UK-based Surestream Petroleum to search for oil in Lake Malawi, which is also known as Lake Nyasa in Tanzania.

"Malawi claims that the whole lake belongs to the country according to colonial boundaries ... But our stated position is that half of the lake belongs to Tanzania," said Assah Mwambene, a spokesman for Tanzania's foreign affairs ministry.

Lilongwe awarded Surestream Petroleum licenses for blocks 2 and 3 in the disputed lake, with a combined area of 20,000 square kilometers.

Tanzanian officials said the 50-year-old territorial dispute between the two countries could escalate if significant oil and gas discoveries are made in the lake.

Mwambene said Tanzanian Foreign Affairs Minister Bernard Membe told his Malawi counterpart, Mganda Chiume, that ongoing oil exploration at the lake could jeopardize talks between the countries over the dispute.

The two ministers met in Dar es Salaam at the weekend to discuss the territorial dispute, Mwabene said.

"Some planes have been spotted flying over Tanzania's side of the lake conducting the oil exploration activities ... there is still room for negotiations over the correct border between Tanzania and Malawi," he said.

Tanzania, which made huge natural gas discoveries off its Indian Ocean coast, said last month it had nearly tripled its estimate of recoverable natural gas reserves to as much as 28.74 trillion cubic feet.