Showing posts with label Paka. Show all posts
Showing posts with label Paka. Show all posts

Sunday, April 06, 2014

Kumbe Paka ni Dawa!

Kumbe paka anatibu magonjwa! Acheni kuwatibua na mawe na kuwamwagia maji ya moto. Umekumbatie kama rafiki yako mepndwa! Utaishi maisha marefu!

****************************




Wednesday, August 25, 2010

Ngedere Dume Amtunza Kitoto cha Paka

Wadau, huyo ngedere aliyeshika kitoto cha paka ni Dume tena ana mandevu. Inakuwaje anakuwa na hisia za mwanamke za kumtunza mtoto? Cheki alivyompakata na kumbeba paka...kama vile mwanae. Huyo paka inaelekea ni yatima na ni bahati tu
aliingia kwenye hiyo hifadhai na kukutana na ngedere mwenye huruma. Wengine si wangemwua au kumla? Wanasema ndegere dume anafanya kazi nzuri ya kuinda usalama was huyo paka. Huyo ngedere yuko katika hifadhi ya manyani huko Bali, Indonesia.

Mnaweza kuona picha zaidi hapa:

http://www.guardian.co.uk/environment/gallery/2010/aug/25/bali-animals#/?picture=366113732&index=5

************************************