Showing posts with label Play. Show all posts
Showing posts with label Play. Show all posts

Thursday, October 17, 2013

A Soldier's Story - Mchezo wa Kuigiza


Tuesday, May 05, 2009

The Harlem Renaissance Revisited - Mchezo wa Kuigiza

Wadau, wiki hii niko katika mchezo wa kuigiza, 'The Harlem Renaissance Revisited with a Gospel Flavor'. Hii picha tulipiga jumamosi iliyopita tukiwa kwenye mazoezi na costumes (Dress rehearsal). Pichani ni mimi (nimeketi), Charles Jackson anyeigiza kama Joe the Bartender na moja wa waongoza mchezo Bibi Ruby Hill.

Katika mchezo huo inayotakoea Harlem, New York miaka ya 1920's mimi naigiza kama Ms. Thelma, mama anayetaka kuwa tajiri kiasi kwamba kasahau mapenzi katika maisha yake.

Mchezo unahusu jinsi wasanii waMarekani weusi walivyobaguliwa na kukimbilia nje ya nchi ili kustawi vipaji vyao. Mchezo umetungwa na Mzee Haywood Fennell Sr.

Kwa habari zaidi tembelea:http://oscarmicheauxrep.tripod.com/id13.html

THE HARLEM RENAISSANCE REVISITED WITH A GOSPEL FLAVOR

DATES: May 7-9, 2009

TIME: 7:15PM

PLACE: Lilla G. Frederick Middle School
270 Columbia Road
Dorchester, MA

TICKETS: $15 Adults $10 Children & Seniors

Sunday, April 12, 2009

11th Annual Harlem Renaissance Play






Dates: May 7th-9th 2009

Time: 7:15PM

Place:Lilla G. Frederick Pilot Middle School, 260 Columbia Road, Dorchester, MA.
Tickets: Adults $15, Youth 12 and under $10, Elders $10.
For Group Rates call: 617-238-2460.


**************************************************
Wadau, nitaigiza katika huo mchezo wa kuigiza. Inahusu wasanii, na wanasiasa weusi walioinua hadhi ya watu weusi katika maisha ya wazungu miaka ya 1920's. Kipindi kile kiliitwa 'Harlem Renaissance' au 'The New Negro Movement'.