Tuesday, May 05, 2009

The Harlem Renaissance Revisited - Mchezo wa Kuigiza

Wadau, wiki hii niko katika mchezo wa kuigiza, 'The Harlem Renaissance Revisited with a Gospel Flavor'. Hii picha tulipiga jumamosi iliyopita tukiwa kwenye mazoezi na costumes (Dress rehearsal). Pichani ni mimi (nimeketi), Charles Jackson anyeigiza kama Joe the Bartender na moja wa waongoza mchezo Bibi Ruby Hill.

Katika mchezo huo inayotakoea Harlem, New York miaka ya 1920's mimi naigiza kama Ms. Thelma, mama anayetaka kuwa tajiri kiasi kwamba kasahau mapenzi katika maisha yake.

Mchezo unahusu jinsi wasanii waMarekani weusi walivyobaguliwa na kukimbilia nje ya nchi ili kustawi vipaji vyao. Mchezo umetungwa na Mzee Haywood Fennell Sr.

Kwa habari zaidi tembelea:http://oscarmicheauxrep.tripod.com/id13.html

THE HARLEM RENAISSANCE REVISITED WITH A GOSPEL FLAVOR

DATES: May 7-9, 2009

TIME: 7:15PM

PLACE: Lilla G. Frederick Middle School
270 Columbia Road
Dorchester, MA

TICKETS: $15 Adults $10 Children & Seniors

6 comments:

Anonymous said...

You look very preety dada...Keep up the good work...Mdau Canada

Anonymous said...

You look good but please try to loose weight a little bit!!!

SIMON KITURURU said...

Naona mambo yote yanaanza keshsho! Kila la keri katika igizo.

Anonymous said...

You look mwa!
Keep it up!

MOSONGA RAPHAEL said...

Hongera sana Chemi.

Anonymous said...

Da Chemi umependeza. Sasa hebu tupe habari kamili ya hiyo picha.