Showing posts with label Roy Bukuku. Show all posts
Showing posts with label Roy Bukuku. Show all posts

Tuesday, October 07, 2008

Tanzia - Roy Bukuku



PRODUCER MAARUFU HAPA NCHINI ROY BUKUKU (PICHANI) AMEFARIKI DUNIA HUKO KWAO MBEYA JANA BAADA YA KUSUMBULIWA NA UGONJWA WA INI KWA MUDA MREFU.

GLOBU YA JAMII INATOA MKONO WA POLE KWA NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI WA ROY POPOTE WALIPO KWANI TUMEMPOTEZA MTU MUHIMU KATIKA FANI YA MUZIKI WA BONGO FLEVA.

MUNGU AIWEKE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI .

AMEN