Tuesday, October 07, 2008

Tanzia - Roy BukukuPRODUCER MAARUFU HAPA NCHINI ROY BUKUKU (PICHANI) AMEFARIKI DUNIA HUKO KWAO MBEYA JANA BAADA YA KUSUMBULIWA NA UGONJWA WA INI KWA MUDA MREFU.

GLOBU YA JAMII INATOA MKONO WA POLE KWA NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI WA ROY POPOTE WALIPO KWANI TUMEMPOTEZA MTU MUHIMU KATIKA FANI YA MUZIKI WA BONGO FLEVA.

MUNGU AIWEKE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI .

AMEN

2 comments:

Markus Mpangala said...

eeeeeeeeeeeeeeeeeeeh jamani sikujua hii habari yaani ndiyo naipata ingawa nipo bongo hii. mungu amlaze mahali pema peponi anina

brooklyn boutique said...

Nimesikia kifo cha Roy nimesikitika mno kwani namfahamu sana tumekaa jirani Mbeya miaka mingi, ni kijana mwema na mcheshi sana, kama mama yake.
Chema hakidumu. Namuombea mapumziko mema, Amen.
Subira.