Showing posts with label Vitanda. Show all posts
Showing posts with label Vitanda. Show all posts

Saturday, November 21, 2015

Fedha za Hafla ya Bunge Zinunue Vitanda Muhimbili: Rais Magufuli

Baada ya kulihutubia na kulizindua bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt JOHN POMBE MAGUFULI amehudhuria hafla fupi iliyoandaliwa kwa ajili ya wabunge katika viwanja vya Bunge Mjini Dodoma na kuagiza fedha zilizochangwa kwa ajili ya kugharamia hafla hiyo zipelekwe Katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya kununulia vitanda vya wagonjwa.

Mheshimiwa Magufuli ametoa agizo hilo baada ya kupokea taarifa kuwa wadau mbalimbali wamechanga kiasi cha shilingi milioni 225 kwa ajili ya kugharamia hafla ya wabunge katika siku ya uzinduzi wa Bunge.

Dkt Magufuli amesema alipata taarifa za kuwepo kwa michango hiyo ya fedha na kutoa maelekezo kuwa zitumike kwa kiasi kidogo kwa ajili ya hafla hiyo na sehemu kubwa zipelekwe katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ili zikatumike kununulia vitanda na hivyo kupunguza tatizo la wagongwa wanaolala chini kutokana na uhaba wa vitanda unaikabili hospitali hiyo.

“Nilipoambiwa kwamba zimechangwa shilingi milioni 225 zimekusanywa kwa ajili ya sherehe, nikasema fedha hizo zipelekwe katika hospitali ya Taifa Muhimbili zikasaidie kununua vitanda” alisema Dkt Magufuli na kusisitiza kuwa “kwa kufanya hivyo tutakua tumejinyima sisi wenyewe lakini tutakua tumewanufaisha wenzetu ambao wanamatatizo makubwa yanayoweza kutatuliwa kwa fedha hizo”.

Awali akitoa taarifa ya michango hiyo Ofisa wa Spika wa Bunge Bwana SAID YAKUBU amesema jumla michango iliyopatikana na shilingi milioni 225 na kwamba fedha zilizotumika katika hafla hiyo ni shilingi milioni 24 tu baada ya kuzingatia maagiza ya Rais Magufuli.

Katika Hafla hiyo Rais Magufuli amekabidhi vyeti vya kutambua mchango wa wadau waliochangia fedha wakiwemo Benki za NMB, CRDB na Benki ya Afrika pamoja na Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ya PSPF na PPF.

Gerson Msigwa

Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano IKULU

November 20, 2015

Thursday, September 23, 2010

Kunguni Summit


Wadau, kunguni wamerudi Marekani. Ukiwa na kunguni nyumbani kwako inabidi ulipe zaidi ya dola $1,000 ili exterminator aje kuwaua! Marekani wana haha sasa maana ile dawa ya DDT waliokuwa wanatumia miaka ya nyuma kuwaua ni marufuku kutumia. Watu wanaongopa maana wengine hawajawahi kuwaona walidhani ni hadithi tu. Sasa hata sehemu za fahari zimevamiwa.

Nakumbuka tulipambana na kunguni Taboara Girls. Tulikosha magodoro na vitanda na dawa maalum na hatukuwaona tena. Hebu soma story chini kuhusu mkutano mkuu wa jinsi ya kupambana na kunguni. Ilibidi nicheke hasa ile ya kununua jiko la kupikia sanduku lako ukisafiri!


*********************************************************************
Kutoka:http://news.yahoo.com/s/time/20100923/us_time/08599202103600

Bedbug Outbreak: Grim Summit on How to Fight Infestation

It's possible that bedbugs are simply the latest in a long string of public panics over epidemics that eventually proved to be manageable, from killer bees to bird flu. But that would not quite capture the grim mood of a big bedbug summit, held the past two days at a hotel near Chicago's O'Hare International Airport. More than 350 people gathered at the two-day event, which sold out five weeks in advance.

One scientist showed, using DNA evidence, how the bugs hop blithely from continent to continent on clothing, carry-ons, backpacks and purses. Another tracked the eruption of bedbug colonies through a single multistory apartment building. Another flashed a photograph of a robust bedbug literally glistening with drops of poison rolling off its back. (See pictures of bedbugs.)

Judging by the number of note-taking exterminators at the summit, however, even pest-control professionals are still searching for tips. There is no perfect insecticide. Even if DDT were magically restored to the market, bedbugs have evolved a resistance to their once mortal foe. Many professionals advise clients to zip their mattresses and box springs into impermeable casings, but not all products are created equal. Summit organizer Phillip Cooper says he has seen hungry bugs squeeze between the zipper teeth of ineffective mattress cases.

The exhibition hall in Chicago suggested the range of bedbug-fighting strategies. Mobile ovens offered to bake the bugs to death. ("Heat is the bedbug's Achilles' heel," says White.) Powerful vacuums proposed to suck them to oblivion. Some experts favored steaming; some favored poison dust; some suggested electrocution. A woman from Australia claimed to have eliminated her infestation by installing simple barriers on her bed legs and waiting patiently for the bugs to starve. (See pictures of the fascinating, frightening world of insects.)

A better solution, experts agree, is to avoid importing bedbugs in the first place. Be cautious in public places where upholstered or wooden surfaces meet backpacks and purses - movie theaters, public libraries, even changing tables in public restrooms. Travelers should inspect hotel beds and headboards for signs of bedbugs; keep suitcases off the bed; unpack outside upon returning home; and put travel clothes immediately into a hot-water wash. At least one vendor offers plastic bags that dissolve in the laundry, so that travel clothes can be sealed at the hotel and dropped directly into the hot-water cycle. If you really want to be thorough, you can buy a $330 PackTite oven designed to bake your luggage to a bug-killing temperature. Otherwise, it might help to seal your suitcase in a plastic garbage bag.

The good news about bedbugs is that they don't appear to transmit diseases. And summit organizers think awareness and innovation should eventually make bedbugs a manageable problem for most people. "Mark my words: In the next 10 years, a silver bullet will be found," says organizer Phillip Cooper. "Somebody will figure out how to deal with bedbugs, and after that, it will be just another pest, like roaches or yellow jackets."