Thursday, September 23, 2010

Kunguni Summit


Wadau, kunguni wamerudi Marekani. Ukiwa na kunguni nyumbani kwako inabidi ulipe zaidi ya dola $1,000 ili exterminator aje kuwaua! Marekani wana haha sasa maana ile dawa ya DDT waliokuwa wanatumia miaka ya nyuma kuwaua ni marufuku kutumia. Watu wanaongopa maana wengine hawajawahi kuwaona walidhani ni hadithi tu. Sasa hata sehemu za fahari zimevamiwa.

Nakumbuka tulipambana na kunguni Taboara Girls. Tulikosha magodoro na vitanda na dawa maalum na hatukuwaona tena. Hebu soma story chini kuhusu mkutano mkuu wa jinsi ya kupambana na kunguni. Ilibidi nicheke hasa ile ya kununua jiko la kupikia sanduku lako ukisafiri!


*********************************************************************
Kutoka:http://news.yahoo.com/s/time/20100923/us_time/08599202103600

Bedbug Outbreak: Grim Summit on How to Fight Infestation

It's possible that bedbugs are simply the latest in a long string of public panics over epidemics that eventually proved to be manageable, from killer bees to bird flu. But that would not quite capture the grim mood of a big bedbug summit, held the past two days at a hotel near Chicago's O'Hare International Airport. More than 350 people gathered at the two-day event, which sold out five weeks in advance.

One scientist showed, using DNA evidence, how the bugs hop blithely from continent to continent on clothing, carry-ons, backpacks and purses. Another tracked the eruption of bedbug colonies through a single multistory apartment building. Another flashed a photograph of a robust bedbug literally glistening with drops of poison rolling off its back. (See pictures of bedbugs.)

Judging by the number of note-taking exterminators at the summit, however, even pest-control professionals are still searching for tips. There is no perfect insecticide. Even if DDT were magically restored to the market, bedbugs have evolved a resistance to their once mortal foe. Many professionals advise clients to zip their mattresses and box springs into impermeable casings, but not all products are created equal. Summit organizer Phillip Cooper says he has seen hungry bugs squeeze between the zipper teeth of ineffective mattress cases.

The exhibition hall in Chicago suggested the range of bedbug-fighting strategies. Mobile ovens offered to bake the bugs to death. ("Heat is the bedbug's Achilles' heel," says White.) Powerful vacuums proposed to suck them to oblivion. Some experts favored steaming; some favored poison dust; some suggested electrocution. A woman from Australia claimed to have eliminated her infestation by installing simple barriers on her bed legs and waiting patiently for the bugs to starve. (See pictures of the fascinating, frightening world of insects.)

A better solution, experts agree, is to avoid importing bedbugs in the first place. Be cautious in public places where upholstered or wooden surfaces meet backpacks and purses - movie theaters, public libraries, even changing tables in public restrooms. Travelers should inspect hotel beds and headboards for signs of bedbugs; keep suitcases off the bed; unpack outside upon returning home; and put travel clothes immediately into a hot-water wash. At least one vendor offers plastic bags that dissolve in the laundry, so that travel clothes can be sealed at the hotel and dropped directly into the hot-water cycle. If you really want to be thorough, you can buy a $330 PackTite oven designed to bake your luggage to a bug-killing temperature. Otherwise, it might help to seal your suitcase in a plastic garbage bag.

The good news about bedbugs is that they don't appear to transmit diseases. And summit organizers think awareness and innovation should eventually make bedbugs a manageable problem for most people. "Mark my words: In the next 10 years, a silver bullet will be found," says organizer Phillip Cooper. "Somebody will figure out how to deal with bedbugs, and after that, it will be just another pest, like roaches or yellow jackets."

7 comments:

Anonymous said...

Hao wadudu balaa. Nikienda vijijini nguo zangu moja kwa moja hupikwa kwenye maji ya moto. Nilishawahi kuomba kuche mapema kuanzia saa 5 usiku!!! Kuna wengine wanaitwa papasi hao huwasikii wanapokuuma lakini homa yake inaweza kukupeleka

Anonymous said...

Moja, kuna wengine wanatoa nadharia kuwa hao kunguni walianza kuonekana katika vitanda vya hayo malori makubwa ya kusafirisha mizigo ya kutoka Mexico!

Mbili, motels za mabarabarani na hoteli nyingine za muda mfupi (quick service) kwa ngono za mijini, kama New York, baada ya kununuliwa eti na Wahindi wa kutoka India, Pakistani, Bangladesh, Sri Lanka!

Ajabu, kunguni hadi kwa maduka ya nguo na kadhalika, ambayo ni trendy (ya anasa), kama Abecrombie & Fitch, hapo New York (Bedbugs force yet another store to shutter its doors, this time ...
Jul 3, 2010 ... Bedbugs are becoming quite fashionable. The bloodsuckers shut down an Abercrombie & Fitch clothing store in the South Street Seaport Friday ...
www.nydailynews.com/.../2010-07-03_bedbugs_shutter_2nd_store_seaports_abercrombie__fitch_infested.html)

Anonymous said...

Ni balaa kwa vile wamesahau jinsi ya kuwamudu. Ile dawa ya kunguni Bongo ilikuwa inanuka kweli kweli! Lakini waliondoka.

Anonymous said...

Waanze kuwatumia kama kitoweo. Hiyo ndio dawa pekee

Anonymous said...

Sasa duka kubwa la anasa huko New York City la Bloomingdales nalo limevamiwa na kunguni.

Anonymous said...

DADA CHENI ISIJEIKAWA HAWA KUNGUNI UMEKUJANAO WEWE KUTOKA TABORA GIRLS?

emu-three said...

Mhh, haya jamani humuaminii tu...sijui niseme hili au nimezee.
Kuna kisa kimoja cha kijiji chema! Kwenye kijiji hiki watu walikuwa wema, na mola akawabariki sana. Baada ya utajiri watu wakaanza kuasi, mola akawatumia wajumbe, lakini wao kwasababu ya utajiri wao wakawapinga!
Mola akaanza kuwapa mitihani, midogomidogo kuwakumbusha, alitumia viumbe wake wa kawaida, mara akawaletea mbu wengi, jamaa wakatafuta madawa ya kila aina, wakawezea kidogo, mara mola akaona hawajajifunza, akawatumia, wadudu waharibifu, kama nzige wakala mazao yao, watu wakawa wanaagiza mazao toka, nje si wana hela bwana...mwishowe mola akaamua kuwaonyesha kuwa yeye ana silaha za kila namna. Ikatokea gharika...
Sasa sijiu niseme...hapana, najua muda wake bado.
Ni hayo tu