Saturday, February 07, 2015

Ushamba Jamani!


6 comments:

Anonymous said...

Kumbe na wewe Dada Chemi ni Mbaguzi , kwa nini unapost kitu kama hicho? Kwamba mwafrica/mtanzania wa mbagala hajui mahali pa haja kubwa na ndogo, Lakini mzungu ndiye anajua??? , Hii sio sahihi kwa mwanaharakati kama wewe.

Anonymous said...

Ushamba wa kutumia vyoo vya kizungu upo sana. UWT walifanya mkutano mkuu pale UDSM. Akina mama walitumia sinki za kunawia mikono kama vyoo! Hata sas ukipata mgeni kutoka kijijini anaweza kukojoa kwenye sakafu akidhani kuna tundu! Hata ukimfundisha kutumia choo cha kizungu ataenda nje kunya na kukojoa!

Anonymous said...

I live in USA. I saw a Chinese woman in the Men's room of a restaurant doing this! LOL! it happens.

Anonymous said...

Nilikuwa kwenye semina kwenye hoteli fulani maarufu Dar. Kuna jamaa alitaka kufanya kama huyo panya. Mhudumu alimfokea na kumwambia hizo vyoo ni kwa ajili ya haja ndogo akitaka kwenda haja kubwa akalie choo kubwa hivyo na asisahau kuvuta! Kwikwikwi!

Anonymous said...

Ha ha haaaa! Hizo zipo sana.

Anonymous said...

Sidhani kama kuna ubaguzi hapo. Wote hao watatu ni wa rangi moja.