Saturday, March 05, 2016

Rais Magufuli Asema.....


Honourable President John Pombe Magufuli of Tanzania

 “Sitojali idadi ya watu nitakaowasimamisha au kuwafuta kazi hata ikifikia 2,000...Ninachoangalia na kujali ni watanzania milioni 50 wafaidike" ---Rais John Pombe Magufuli.

 "Mafisadi wakinishinda, basi msiniite rais wenu....utumbuaji "MAJIPU" unaendelea".---Rais John Magufuli.

"Ndugu zangu Watanzania, najua maisha mnayoishi, taabu mnazozipata na matarajio yenu kwangu. Vilio vyenu ninavisikia na ninavifanyia kazi. Lengo langu ni kuwatoa katika UMASIKINI....sitowaangusha"---Rais John Pombe Magufuli.

KUTOKA:  https://www.facebook.com/TanzaniaGovernment/?fref=photo

No comments: