Tuesday, March 08, 2016

Jiunge na Harambee USA

Dear Tanzanians, let's talk about tomorrow, issues that don't often get our attention as we live convinced that .... "that can't happen to me or I can't be next...." Yet day and day we congregate to pray and to celebrate our brothers' and sisters' departure.... Certainly you must be wondering what is Baraka Bitariho talking about. ... let's talk about financing it.... If you still curious and interested to know what I am talking about, Here is a message about (copied and pasted as received...)

 Pamoja We Can, a not for profit organization supporting the lives and congratulations of Tanzanians in America.... Pamoja we can! ! ! Harambee USA 1st meeting. Location: Teleconference Date: February 27, 2016. Friends at Pamoja we can, ifuatayo ni report ya kikao chetu cha kwanza kilicho fanyika February 27, 2016  Kikao kilihudhiriwa na watu 108 kwa njia ya simu.

Ufunguzi ulifanywa na Mr. David Mrema : ☆ Alieleza kwa kifupi kwanini hii group imeanzishwa: ~ Kusaidiana wakati member amefariki. ~Kupunguza gharama na shida ya kukusanya michango member anapo fariki. > Kutambulisha baadhi ya viongozi : Mr. Mrema alitambulisha baadhi ya viongozi wa Pamoja we can !!! >Interim Board of directors: ☆ Zaituni M. Mnubi ( Michigan ) ☆ Bashiri Abdallah (South Carolina ) >Delegates : ☆ Highness Meena ( Massachusetts ) ☆ Veronica Njwaba ( Missouri ) ☆ Caroline E. Kazi ( Rhode Island ) ☆ Hilda B. Curry ( Texas ) Kutakuwa na 5 interim board of directors, na kila state itakuwa na delegates wawili. Kwa sasa hawa viongozi wata teuliwa na National exacutive office ( NEO) fo a term of 2 years. Mapendekezo : ☆ Mr. J.k ( GA): kuwe na njia njia nzuri za mawasiliano. Information zitumwe mapema na kwa njia ambayo Members wata weza kuzipata. ☆ Members wengi hawakuweza kufungua document ya rules and regulations kabla ya kikao. Next time kuwe na option zaidi mfano PDF ili kurahisisha kufungua document. ☆ Kaka. S.M (IN): Tunahitaji kuboresha njia hii ya Conference. Ilishauriwa kubadili njia tunayo tumia na kwenda TeleconferencePro kwani wana option nyingi za ku manage kikao.

 Q. Dada E.K : Muda wa member kuka kaa Tanzanian uongezwe kutoka 90 days.

 A. Kutokana na rules member akiwa Tanzanian zaidi ya 90 days , itabidi membership yake isiyishwe na ita rejeshwa mara tu atapo rudi usa. This program ni kwa ajili ya watanzania na familia zao wanao ishi hapa USA tu. No Exception. Q. Dada E.K (MD) member akirudi Tanzanian aweze kuendelea kuwa member na familia yake ilipwe pale anapo fariki. Hii ni kwajili hasa ya member ambao wanajua kuwa wana muda mfupi wa kuishi na wana rudi nyumbani kuagana na familia zao. A. Wazo limechukuliwa na litafanyiwa kazi na founding members. Jibu lita tolewa kwenye kikao kikuu national general assembly (NGA). Q. Dada H.W (TX) : ☆ Watoto above 16 years wasilipe kama hawana kazi. ☆Swala la kutuma death certificate ni invasion of privacy. ☆Swala la kutuma taarifa kabla huja safari nje ya nchi ni invasion of privacy. A. ☆ swala la kufuatilia ni nani anafanya kazi litakuwa gumu. Watoto chini ya miaka 16 hawatalipa lakini lazima waandikishwe. Watoto 16+ watalipa au kulipiwa na wazazi wao. ☆ Yes una weza kutuma official obituary document from your local government. ☆ Hautumi taarifa za kusafiri kwa member wote.

 Unatumia kwa secretary wa Pamoja we can office located on Richmond TX. Hii Itarahisha verification process pale tatizo likitokea ukiwa safarini. Pls note that isipotoa taarifa kuta kuwa ma extra document zitahitajika. Q. Kaka J.T (IL): Clarification $90 kwa mwezi? Au per incident? Nimeelewa kuhusu $20 administrative fee. A. One time initial deposit $90. Hauta toa tena $ 90 deposit. Hakutakuwa na monthly fee hata siku moja. Member watalipa pa incident , maana yake ni pale member mwenzetu amefariki. Now : Mfano tupo 750 msiba unapotokea, ( 15000÷750 = $20) $ 20 itatumika kutoka kwenye deposit yako. Hapo itabaki wa na only $70 kwenye deposit yako. Utakuwa na siku 30 za kurudisha hiyo balance yako kuwa $90. Utaenda bank na kuweka $20 iliyo tumika. ** Kutakuwa na $20 administrative fee kwa mwaka due January 25 ya kila mwaka. Q. Kaka B.M ( AR). Clarification $90. A. Pls angalia jibu hapo juu. Q. Dada V. (VA) Matumizi ya $20. A. Kuwezesha program kujitegemea. Founding members will work to increase number of members kufikia 5000 members by 2021. Kwa wakati huo members watakuwa wana lipa $3 kwa incident. Yaani $3 ×5000 = $15000

 Now ,utaona kuwa ni kwa jinsi gani founding members na team yao will work tireless kuhakikisha kuwa hili lengo lina kamilika. Hili lengo likitokea kamilika kila member atafaidika kwa kulipa hela kidogo sana pale mwenzetu anapo fariki. Mwisho : ☆Angalia calendar of events iliyo tumwa mwanzoni. Kila kitu kina baki kama lilivyo with exception kuwa no one will pay late fee or mandatory 180 waiting period baada ya siku ya mwisho kujiandikisha. ☆ Mara account ikifunguliwa program itaanza na members wataanza kuweka deposit na administration fee zao. ☆ Hatuta subiri tufike member 500. Incident ikitokea kabla ya kuwa member 500, mahesabu ya fuatayo tatatumika. $30 × Number of members. Hii itasadia kupata chochote kwa members. Thank you for your support. Na penda nikushuru sana kwa ushirikiano wako. This have been a dream for the last 4 and half years na sasa with your support ina kuwa reality.

Pamoja we can! ! ! Harambee USA Thank you David Mrema divineoaks@gmail.com 8325259857 Pamoja we can!!! Harambee USA. Timeline of events: February 27 , 2016 : 1 st teleconference meeting. We will review our rules, regulations and our bylaws. March 1, 2016: Registration with the secretary of state-Texas. Pamoja we can!!! Harambee USA : Website will be up and running. Members can start registering online by completing and submitting all required documentation. April 1, 2016 : Application for organization EIN number. April 8, 2016 : Opening of the organization's bank account. April 15, 2016 : Members will start to make their membership initial deposit and membership annual fees. May 15, 2016: last day for members to submit applications and make the membership initial deposit and annual fees. Pamoja we can!!! Harambee USA program will begin once we have 500 members who have completed the application process and deposited the initial membership deposits and annual fees. We are projecting the process to be completed and our program to begin by June 1, 2016. ** This date can change depending on how fast the above processes will be completed. Thank you David Mrema divineoaks@gmail.com 832 525 9857. Forwarded as received by Baraka Bitariho We are hiring at Banka General Staffing Www.bankaGeneral.com Team@Bankageneral.com E *** Please forward this message to all Tanzanians that you know and other what's up groups***

No comments: