Saturday, March 05, 2016

Ukweli Kuhusu Donald Trump


Wadau, hatutashangaa kama ni kweli mgombea rais was Marekani upande wa Republicans, Donald Trump ni Mfufuo wa Adolf Hitler!  Siasa zake za kibaguzi, zuia waislam wasiingie Marekani, Fukuza wa Mexico, WaChina... Jenga Ukuta N.K. Wabaguzi (White Supremacists) wamejitokeza kwa wingi kumwunga mkono. Tumwogope sana!

No comments: