Saturday, May 28, 2016

Waziri wa Serikali ya Zanzibar Afumaniwa Gesti Akiwa na Binti yake wa Kambo!

Aliyekuwa Mkuu wa Kkoa wa Kaskazini Pemba na Katibu Ikulu Ndogo ya Pemba Mh.Faki Dadi Faki.amekutwa guest akiwa na mtoto wa mke wake wa ndoa!

Iinasemekana ni mtu na mpenzi wake. Ila baada ya mtoto kutiliwa mashaka akajaribu kuficha ficha leo ametegwa na kunaswa kwenye mtego ulioshuhudiwa na mama yake mzazi (mtoto akikutwa kitandani na baba wa kambo) hayo yalifanyika katika hotel ya Excutive iliopo pembeni ya makao makuu ya uhamiaji.

8 comments:

Anonymous said...

Ha ha ha ha.. Mwanamke ana hasira mpaka katoka tusi lol.. Ila wakati mwingine hizi genye mshindo hizi lol..

Anonymous said...

Nyege zina nguvu kuliko akili yako!

Anonymous said...

Hayo yote ni madhara ya watoto kuita Baba zao "Daddy"

Anonymous said...

Mtoto mwenyewe anashawishi pia. Nimeona klip nyingine wako ndani ana body teketeke tusimseme sana mwanaume mwenzetu.

Anonymous said...

Ila jina lake tu utata mtupu.. Mama anahasiri kushusha mtusi huo duh!! Ila Mzee naye jamani anakula kifaranga loh

Juma said...
This comment has been removed by a blog administrator.
Rashidi said...

Kwa mujibu wa Dini Tukufu ya Kiislamu, mtoto wa mkeo sii wako tena ni ruksa sio tuu kujilia hata kuoa!.

Kama huyo binti yuko under 14 hapo ndipo kuna kosa la jinai, lakini akiwa ni over 15, anakuwa sio mtoto tena, ameishatimiza umri wa consent, hivyo hakuna ubakaji wala watu kujivinjari kwa ridhaa zao, sio kosa la jinai!.

Kosa ni kujivinjari na mtu wa nasaba ya karibu, kwa mtoto wa damu yako au mzazi wako, lakini mtoto wa mjomba, shangazi, hata wa mkeo ruksa, tena Kiarabu, hata mwana haramu wa kumzaa mwenyewe ni halali yako alimradi hukumlea wewe!.

Kiislamu pia imeharimisha mtoto aliyeishi kwako na kulelewa toka udogoni akavunjia un.o kwako atahesabika ni mwanao!.

Aliyeleta huu uzi atujuze umri wa binti, na alivunjia ...wapi, ruksa kabisa kula kuku na mayai yake, au kuku na kifaranga chake tena kifaranga kinakuwaga kitamu kuliko kuku mwenyewe.

Anonymous said...

Hilo ndiyo tatizo la kuoa mama mwenye mtoto na mkaishi pamoja na mtoto!! Mkigombana uwe makini sana, kuzushiwa umebaka au umelawiti ujue ni swala la kufikia,

Fikiria kwanini haya mambo hutokea sana kwa mwanamke mwenye mtoto na baba mlezi wa mtoto!